Mesut Ozil aagana na ukapela, Rais wa Uturuki, Erdogan awa mshenga wa harusi hiyo - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mesut Ozil aagana na ukapela, Rais wa Uturuki, Erdogan awa mshenga wa harusi hiyo

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amekuwa mshenga katika ndoa ya wa mchezaji wa Arsenal Mesut Ozil hapo jana siku ya Ijumaa mjini Instabul nchini Uturuki.


Erdogan attended the wedding of Ozil, who is of Turkish descent [Murat Cetinmuhurdar/Reuters]


Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, Kiungo huyo wa timu ya taifa ya Ujerumani, Ozil alitangaza mwezi Machi mwaka huu alisema kwamba alimuomba rais Erdogan kuwa mshenga wake swala ambalo lilizua hisia kali nchini Ujerumani.


Helge Braun, waziri wa Chansela wa Ujerumani Angela Merkel aliambia gazeti la Bild kwamba ilikuwa uchungu sana kumuona Ozil akimchagua kiongozi kama huyo baada ya shutuma alizopata na rais huyo wa Uturuki mwaka uliopita.


Erdogan na Ozil


Rais Erdogan na mkewe Emine (kulia) wakipiga picha na wanandoa hao

Ozil ambaye chimbuko lake ni Uturuki, alishangaza watu wengi pale alipopiga picha na rais wa nchi hiyo Erdogan kabla ya kombe la dunia mwaka uliopita.


Kasha kutangaza kustaafu Kimataifa kuitumikia timu yake ya taifa ya Ujerumani kutokana na madai ya ubaguzi wa rangi na kutoheshimiwa baada ya picha hizo kusambaa nchini Ujerum... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More