Mesut Ozil akataa ofa ya kupokea pauni mil. 1 kwa wiki, wakala wake aadai hayo ni mapenzi yake kwa Arsenal - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mesut Ozil akataa ofa ya kupokea pauni mil. 1 kwa wiki, wakala wake aadai hayo ni mapenzi yake kwa Arsenal

Nyota wa klabu ya Arsenal, Mesut Ozil amekataa ofa yakuwa anapokea mamilioni ya fedha kwa wiki ambayo yangemuwezesha kuwa miongoni mwa wachezaji ghali zaidi duniani hii ni kwa mujibu wa wakala wake, Dr Erkut Sogut.Ozil ambaye ni raia wa Ujerumani alikuwa amesaliwa na muda mchache wa kuwepo Arsenal kutokana na mkataba wake kuelekea ukingoni kabla ya kuingia kandarasi mpya ya miaka mitatu na nusu mwezi Februari iliyomfanya aweanachukuchua kiasi cha pauni 350,000 kwa wiki na hivyo kumuwezesha kuwa mchezaji anayevuta fedha ndefu zaidi kuliko wote ndani ya timu hiyo.


Kupitia mahojiano yake na Evening Standard, Sogut amesema kuwa Ozil alikataa ofa kutoka ‘Asia’ ambayo ingemfanya kuweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza duniani kulipwa pauni milioni moja kwa wiki.


”Tulipata baadhi ya ofa kubwa kutoka Asia, kweli zilikuwa ofa zaajabu sana lakini fedha siyo kitu kikubwa sana kwa Mesut,” amesema Sogut ambaye ni wakala wa Ozil.


”Nikweli fedha ni kitu muhimu kukifikiria lakini watu... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More