MEYA MANISPAA YA IRINGA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUOMBA NA KUPOKEA RUSHWA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MEYA MANISPAA YA IRINGA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUOMBA NA KUPOKEA RUSHWA

Na Francis Godwin,Iringa
TAASISI ya kuzuia na kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) imemfikisha mahakamani  Mstahiki Meya wa halmashauri ya manispaa ya Iringa Alex Kimbe kupitia chama cha demokrasia na maendeleo ( CHADEMA) makosa mawili ya jinai kuomba na kupokea rushwa .
Kaimu kamanda wa takukuru mkoa wa Iringa Mweli Kilimali akizungumza leo na vyombo vya habari ofisibni kwake alisema kuwa meya huyo alipokea kiasi cha shilingi milioni 2 kutoka kwa mteja wao .
Alisema kuwa tukio la kukamatwa meya huyo lilitokea Novemba 15 mwaka huu majira ya saa 12 jioni katika Hotel ya Gentle Hills mjini Iringa .Kuwa meya huyo ambae ni diwani wa kata ya Isakalilo aliokea pesa hizo kinyume na kifungu cha 15 (1) (a) cha sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa namba 11/2007.
Alisema meya Kimbe alipokea fedha hizo za mtego wa rushwa akiwa kwenye gari yake aina ya nadia yenye rangi ya Marron ikiwa na namba za usajili T 456 CKD ili... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More