MEZA YA MAKUMBUSHO: Unamkumbuka Trazeguet - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MEZA YA MAKUMBUSHO: Unamkumbuka Trazeguet

David Sergio Trezquet, amezaliwa mwaka 1977 nchini Ufaransa, akiwa na umri wa miaka 42 pia amewahi kuitumikia timu ya taifa Ufaransa, alikuwa akicheza nafasi ya mshambuliaji.


Mshambuliaji huyo alianzia maisha ya soka nchini Argentina, katika klabu ya Atletico Platense, akiwa na umri wa miaka 8 baadaye mwaka 1994 alipandishwa katika klabu kubwa na kucheza ligi kuu ya Argentina.


Baada ya kuitumikia klabu hiyo Msimu unaofuata alihama na kwenda na kujiunga na Monaco, inayoshiriki ligi kuu Ufaransa, alikutana na mshambuliaji mwenzake Thienry Henry, msimu wa mwaka 1996-97 walitwaa kombe la ligi kuu Ufaransa.


Kabla ya kuondoka Monaco, aliifungia klabu hiyo mabao 52 katika michezo 93 ya ligi kuu pia alitwaa makombe mawili ya ligi kuu na kombe la Trophee des champion (kombe la ligi).


Msimu wa mwaka 2000 alijiunga na klabu ya Juventus, kwa ada ya uhamisho wa Euro milioni 20 msimu wa mwaka 2000-01 alichukua tuzo ya mfungaji bora alifunga mabao 24 na kutwaa taji la ligi kuu Itali.


Trezguet, ameifu... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More