MEZA YA MAKUMBUSHO: Xavi pengo kubwa ndani ya Barcelona - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MEZA YA MAKUMBUSHO: Xavi pengo kubwa ndani ya Barcelona

BARCELONA, Hispania.

Xavier Hernandez ameondoka Katalunya. Hakuna tena mtu kama huyu dimba la kati. Kila kukicha wanahaha kumoata mrithi wake. Ivan Rakitic ni mzuri sawa lakini Xavi ni moja ya Kiungo bora duniani aliyewahi kufanya makubwa zaidi katika historia ya mchezo wa soka.


Tumesikia Barcelona inamfukuzia Rabiot lakini sina imani kama anaweza kuziba pengo lake.


Kiungo huyo, alikuwa akicheza eneo la Kiungo wa kati na uwezo mkubwa wa kumiliki wa mpira. Silaha yake kubwa ni kupiga pasi fupi fupi, kwa staili ya tik-tak.


Wanaompuuza Messi siku akistaafu soka ndio wataona umuhimu na ubora wake” XaviWasifu wake


Hernandez, amezaliwa mwaka 1980, mwezi Januari. Kwa sasa ana umri wa miaka 39. Ni mzaliwa wa Hispania.


Historia yake kwa Ufupi


Mchezaji huyo ameanzia kucheza soka akiwa katika academic ya La Masia, mjijini Barcelona, akiwa na umri wa miaka 11 mchezo wake wa Kwanza kuchezea ilikuwa mwaka 1998 dhidi ya Mallorca. Baada ya hapo ameichezea Barcelona, jumla ya michezo 700 na kufu... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More