Mfahamu mchezaji wa Algeria aliyoondolewa kwenye timu ya taifa ikijiandaa na Afcon 2019, kwa kuonyesha makalio mtandaoni - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mfahamu mchezaji wa Algeria aliyoondolewa kwenye timu ya taifa ikijiandaa na Afcon 2019, kwa kuonyesha makalio mtandaoni

Kocha wa Algeria Djamel Belmadi amethibitisha kuwa amemtema kikosini kiungo mshambuliaji Haris Belkebla kwa utovu wa nidhamu. Kikosi cha Algeria kinaendelea kujifua kwaajili ya michuano ya Afcon, na kocha Belmadi amesema nidhamu ndio kipaumbele kwa sasa. Mbadala wa Belkeba kwenye michuano hiyo itakayoanza Juni 21 ni mshambuliaji mzawa wa Ufaransa Andy Delort.Kwa mujibu wa BBC. Tayari msahambuliaji huyo ameshatua kambini nchini Qatar.


“Kocha wa timu ya taifa Djamel Belmadi ameamua kumuengua kiungo Haris Belkebla kutoka kwenye kambi ya Afcon.


“Maamuzi ya kocha ni kwaajili ya kudumisha nidhamu miongoni mwa wachezaji, kitu ambacho kwake ni kipaumbele,” shirikisho la mpira la nchi hiyo limesema kwenye taarifa yake.


Hatua hiyo imefuatia picha ya video ya Belkebla inayomuonesha mchezaji huyo akionesha makalio yake kwenye mitandao wa kijamii.


Tukio hilo lilitokea wakati mchezaji mwenzake akiwa anacheza mbashara’gemu’ kwenye mtandao wa kijamii.


Kiungo huyo wa klabu ya Brest tayari a... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More