MFALME: Lionel Messi amfunika Ronaldo kwa mataji - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MFALME: Lionel Messi amfunika Ronaldo kwa mataji

Pamoja na rekodi hiyo pia rekodi nyingine ni ya kuwa mfungaji mwenye mabao katika mashindano yote, mabao 324 katika mechi 308 sawa na wastani wa 1.5 kwa kila mechi. Bao moja zaidi na mechi 433 katika rekodi ya siku za nyuma iliyokuwa ikishikiliwa na Raul.


Source: MwanaspotiRead More