MFANYAKAZI WA UDSM AJISHINDIA GARI KUPITIA PROMOSHENI YA 'TBL KUMENOGA, TUKUTANE BAA' - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MFANYAKAZI WA UDSM AJISHINDIA GARI KUPITIA PROMOSHENI YA 'TBL KUMENOGA, TUKUTANE BAA'

Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Pamela Kikuli, (kushoto)Meneja Udhamini na Mawasiliano wa TBL,David Tarimo (katikati) na Afisa Kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Humid Semvua wakifuatilia namba ya mshindi wakati wa droo ya kwanza ya mshindi wa gari iliyofanyika jijini Dar es SalaamMeneja wa bia ya Kilimanjaro, Pamela Kikuli, (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (Kulia) ni Meneja Udhamini na Mawasiliano wa TBL, David Tarimo.
Na Mwandishi Wetu.
Mkazi wa Dar es Salaam na mfanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Julitha Kilawe, ameibuka mshindi wa gari mpya aina ya Renault KWID kupitia promosheni ya TBL Kumenoga, Tukutane Baa’iliyozinduliwa mwezi uliopita itakayowezesha washiriki 3 wa promosheni hiyo kujishindia gari 1 kila mwezi katika kipindi cha miezi 3 ya promosheni hiyo.
Droo ya kuwapata washindi hao imefanyika jijini Dar e Salaam, chini ya usimamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ya Taifa na kushuhudiwa na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari.
Ms... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More