Mfumo wa GePG mwarobaini kwa ‘wapiga dili’ - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mfumo wa GePG mwarobaini kwa ‘wapiga dili’

MAMLAKA ya Maji safi na usafi wa Mazingira (Mwauwasa) mkoani Mwanza imesema kuwa mfumo mpya wa kielektroniki wa malipo ya serikali wa GePG umesaidia kupunguza upigaji wa fedha za umma uliokuwa ukifanywa na baadhi ya watumishi wasiokuwa waaminifu. Anaripoti Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Imesema mfumo huo umesaidia pia upatikanaji wa ankara na kufanya malipo haraka ...


Source: MwanahalisiRead More