Mfumo wa kuhakiki mtu kwa mishipa ya mkono wadanganyika - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mfumo wa kuhakiki mtu kwa mishipa ya mkono wadanganyika

Sababu mbalimbali za kiusalama zinafanya wataalam waweze kubuni njia ya kutumia ili kuhakikisha kifaa/mahali fulani panakuwa salama. Sio kitu cha ajabu/kushangaza kuona vifaa mbalimbali vikitumia teknolojia ya alama za vidole, utambuzi wa sura katika kuweza ulinzi madhubuti lakini katika teknolojia ya karibuni kabisa inayotumia utambuzi wa mishipa ya mkono imekubali kudanganyika!. Mfumo wa utambuzi wa [...]


The post Mfumo wa kuhakiki mtu kwa mishipa ya mkono wadanganyika appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More