MFUMUKO WA BEI KWA MWEZI JULAI 2019 WABAKI ASILIMIA 3.7 - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MFUMUKO WA BEI KWA MWEZI JULAI 2019 WABAKI ASILIMIA 3.7

Kaimu Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Jamii, Ruth Minja akizungumza na waandishi wa vyombo vya habari wakati alipokuwa akitoa taarifa ya mfumuko wa bei kwa kipindi cha mwaka ulioishia mwezi Julai 2019. Kulia ni Kaimu Meneja wa Takwimu za Ajira na Bei, Gregory Millinga. Mkutano huo ulifanyika leo Ijumaa Agosti 9, 2019.Kaimu Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Jamii, Ruth Minja akizungumza na waandishi wa vyombo vya habari wakati alipokuwa akitoa taarifa ya mfumuko wa bei kwa kipindi cha mwaka ulioishia mwezi Julai 2019.(PICHA NA MAELEZO).

Ofisi ya Taifa ya Takwimu imetoa taarifa ya mfumuko wa bei nchini ambapo pamoja na mambo mengine mfumuko wa bei ya mwezi Julai 2019, umebakia kuwa asilimia 3.7 kama ilivyokuwa kwa mwaka ulioishia mwezi Juni 2019.
Akizungumza na waandishi wa vyombo vya habari leo Ijumaa (Agosti 9, 2019) Kaimu Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii, Ruth Minja alisema kiwango hichi kubakia kuwa sawa kwa kiwango hicho kumechangiwa na kuongezeka na kupungua kwa bei za baa... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More