Mfumuko wa bei sasa ahueni - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mfumuko wa bei sasa ahueni

MFUMUKO wa Bei wa Taifa kwa mwezi Julai, 2018 umepungua kutoka asilimia 3.4 mwezi Juni, 2018 hadi kufikia asilimia 3.3. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Takwimu hizo zimetolewa leo tarehe 9 Agosti, 2018 Jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Ephraim Kwesigabo alipokuwa akitoa taarifa ya ...


Source: MwanahalisiRead More