MFUMUKO WA BEI WA TAIFA UMEPUNGUA KUFIKIA ASILIMIA 3.3 - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MFUMUKO WA BEI WA TAIFA UMEPUNGUA KUFIKIA ASILIMIA 3.3

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Jamii Bw. Ephraim Kwesigabo akitoa taarifa ya hali ya mfumuko wa bei kwa mwezi Julai 2018 leo Jijini Dodoma ambapo mfumuko huo umeshuka kwa asilimia 3.3 kwa mwezi Julai 2018 ikilinganishwa na asilimia 3.4 kwa mwezi June 2018.Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Said Ameir akisisitiza jambo wakati wa hafla ya kutoa taarifa ya hali ya mfumuko wa bei kwa mwezi Julai 2018 Jijini Dodoma.Meneja wa Takwimu za mazingira na uchambuzi Bibi Ruth Minja akisisitiza kuhusu umuhimu wa takwimu katika kuchochea maendeleo.
Na Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma.
Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Julai, 2018 umepungua hadi kufikia asilimia 3.3 ikilinganishwa na asilimia 3.4 mwezi Juni, 2018.
Hayo yameelezwa leo na Jijini Dodoma na Mkurugenzi wa sensa na Takwimu za Jamii, Ofisi ya Taifa ya Takwimu Ephraim Kwesigabo alipokuwa akitoa taarifa ya mfumuko wa bei kwa mwezi Julai mwaka huu.Kwesigabo amesema, kasi ya mabadiliko ya bei za b... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More