Mfumuko wa bei wapaa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mfumuko wa bei wapaa

MFUMKO wa bei umeongezeka kutoka asilimia 3.2 mwezi Aprili, hadi asilimia 3.5 mwezi Mei mwaka huu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa Irenius Ruyobwa, Mkurugenzi wa shughuli za kitakwimu Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) amesema, kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma kwa mwezi Mei imeongezeka ...


Source: MwanahalisiRead More