Mfupa wa Tukuyu Stars unavyotesa VPL - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mfupa wa Tukuyu Stars unavyotesa VPL

Gharib MZINGA


Abdul Lausi na Joseph Ksyupa ni miongoni mwa majina ambayo yameacha historia kubwa katika soka la Mkoa wa Mbeya, vijana hawa wawili ndio waliotoa wazo la kuunganisha vilabu viwili vya wilayani Rungwe Tukuyu Mkoani Mbeya, Mwenge FC na Jamuhuri FC mwanzoni mwa miaka ya 1980.


Dhumuni kubwa likiwa ni kunyanyua soka la Wilaya hiyo ili kupata timu itakayowakilisha katika ligi daraja la kwanza  (ligi kuu sasa).


Jitihada za Wanatukuyu wakiunganishwa na timu hiyo zilizaa matunda kwa kumpata mdhamini mkuu mfanya biashara Ramnik Patel Kaka.


Timu hiyo ya Tukuyu Stars ‘Banyambala’ ilianza harakati miaka ya 1982, ilifanikiwa kucheza michezo mingi ya kirafiki ya kimataifa ikiwa ligi daraja la 3 na 2, Ilicheza na timu ya taifa ya Msumbiji pia katika harakati za kujipanga katika kupigana kupanda ligi daraja la kwanza (ligi kuu sasa).


Mwaka 1985 Tukuyu Stars ‘Banyambala’ ilifanikiwa kupanda daraja na kuingia ligi daraja la kwanza rasmi, kikosi cha Tukuyu kiliundwa na wachezaji ngu... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More