Mgogoro Baina ya Wazee wa Kimila na Chuo cha Ufundi Arusha Watatuliwa - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mgogoro Baina ya Wazee wa Kimila na Chuo cha Ufundi Arusha Watatuliwa

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Susan Mlawi akisistiza jambo wakati wa kikao cha usuhushi baina ya Wazee wa kimila wa kimasai na uongozi wa chuo cha Ufundi Arusha kuhusu eneo la kimila lililopo ndani ya chuo hicho leo Jijini Arusha. Mkurugenzi wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi akiwa amemwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu ,Sayansi na Teknolojia Dkt. Noel Mbonde (kushoto) akifafanua jambo katika kikao cha usuluhishi baina ya Wazee wa kimila wa kimasai na uongozi wa chuo cha Ufundi Arusha kuhusu eneo la kimila lililopo ndani ya chuo hicho, kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Susan Mlawi. Mwenyekiti wa Wazee wa Kimila wa Kimasai Bw. Isack Lekisongo akitoa neno la shukurani katika kikao cha usuluhishi baina ya Wazee wa kimila wa kimasai na uongozi wa chuo cha Ufundi Arusha kuhusu eneo la kimila lililopo ndani ya chuo hicho leo Jijini Arusha. Wajumbe wakisikiliza na kufuatilia kwa makini maelekezo yaliyokuwa yakito... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More