MGOMBEA SALIM RUPIA: Usajili wa Yanga utainufaisha klabu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MGOMBEA SALIM RUPIA: Usajili wa Yanga utainufaisha klabu

MGOMBEA wa Yanga katika nafasi ya ujumbe, Salim Rupia amesema endapo atapata nafasi ya kuwaongoza wanayanga katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu kipaumbele chake kikubwa ni kufanya usajili mzuri ambao utakuwa na manufaa kwa klabu.


Source: MwanaspotiRead More