MH. BALOZI ALI ABEID KARUME(MB) AFUNGA TAMASHA LA 'URITHI FESTIVAL' KIJIJI CHA MAKUMBUSHO-JIJINI DAR ES SALAAM - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MH. BALOZI ALI ABEID KARUME(MB) AFUNGA TAMASHA LA 'URITHI FESTIVAL' KIJIJI CHA MAKUMBUSHO-JIJINI DAR ES SALAAM

Mgeni Rasmi Mh. Balozi Ali Abeid Karume (MB), Waziri wa Vijana,Utamaduni, Sanaa na Michezo , akitoa hotuba yake rasmi ya kufunga Tamasha la Urithi Festival Jijini Dar es Salaam ambapo alisisitiza kuendelea kudumisha utamaduni wetu kwa kuwa ndio urithi wetu.Mgeni Rasmi Mh. Balozi Ali Abeid Karume (MB), Waziri wa Vijana,Utamaduni, Sanaa na Michezowa( pili kutoka kushoto) akiwa anaingia katika viwanja vya kijiji cha makumbusho na kupokelewa na ngoma za asili.Mgeni Rasmi Mh. Balozi Ali Abeid Karume (MB), Waziri wa Vijana,Utamaduni, Sanaa na Michezo (Aliyevaa Suti nyeusi) akitembelea mabanda mbalimbali ya wajasiliamali. Mgeni Rasmi Mh. Balozi Ali Abeid Karume (MB), Waziri wa Vijana,Utamaduni, Sanaa na Michezo (aliye vaa  suti nyeusi) akipata maelezo kutoka katika Banda la Waka Shaaban F Kiulah(aliyeshika Mic) Afisa Mkuu wa Misitu kuhusu Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania   Mgeni Rasmi Mh. Balozi Ali Abeid Karume (MB), Waziri wa Vijana,Utamaduni, Sanaa na Michezo (aliye vaa  suti nyeusi... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More