Mh. Jokate Aanza na “Operation Jokate ” Kisarawe. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mh. Jokate Aanza na “Operation Jokate ” Kisarawe.

Mwanadada mrembo na mwanamitindo Jokate Mwengelo ambae hivi karibuni aliteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Kisarawe, ameanza kazi rasmi katika wilaya hiyo huku akianza kwa kishindo kikubwa kwa Operation Jokate ambayo inalengo la kuondoa wavamizi  katika mapori na hifadhi za taifa.


Kampeni hiyo ambayo Jokate ameanza nao inalengo la kuondoa wafugaji wanaotumia vibaya hifadhi za taifa kwa ajili ya ufgaji kitu ambacho ni kinyume na taratibu.


Zifuatazo ni picha zinazomuonyesha Mh Jokate akiwa na watendaji tofauti tofauti walikuwa wakitekeleza jukumu hilo.The post Mh. Jokate Aanza na “Operation Jokate ” Kisarawe. appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More