Mh Makonda Atimiza Ahadi kwa Mama Godzilla - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mh Makonda Atimiza Ahadi kwa Mama Godzilla

Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda ametimiza aahdi yae ya kutoa pesa ya msaada kwa mama wa marehemu Godzilla shilingi milion tano ambayo alisema itaweza kumsaidia mama kufanya biashara ya duka la madawa ambalo mtoto wae alipanga kumfanyia kabla hajafariki.


Mh makonda alimkabidhi pesa hiyo msanii wa hip-hop nchini Fid q na kusisitiza kupeleka pesa hiyo kwa mama yake na godzill ana pesa hiyo ilifika kwa mama huyo huku akitoa salamu za shukurani na sala kwa mkuu wa mkoa.


Marehemu Godzill alifariki Duniani February hii 13 na kuzikwa february 16 mwaka huu, huku kifo chake kikizua gumzo na masikitiko makubwa .


 


 


 


The post Mh Makonda Atimiza Ahadi kwa Mama Godzilla appeared first on Ghafla! Tanzania.


Source: Ghafla TZRead More