MHAGAMA APONGEZA MIRADI KAMBI YA MLALE - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MHAGAMA APONGEZA MIRADI KAMBI YA MLALE

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akizungumza na Kikosi 842 cha Jeshi Kujenga Taifa (JKT) Mlale, alipofanya ziara ya kikazi kuona shughuli za uzalishaji mali zinazofanywa na kikosi hiko. Mkuu wa Kikosi Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Mlale, Luteni Kanali Al Solomon Shausi akielezea miradi ya uzalishaji mali iliyopo kwenye kambi hiyo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) alipofanya ziara ya kikazi kuona shughuli za uzalishaji mali zinazofanywa na kikosi hiko. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akipata maelezo kutoka kwa Mwendesha Mitambo ya Kiwanda SG. Vereranda Kihali jinsi shughuli ya uchakataji sembe inavyofanyika katika kiwanda hiko, alipotembelea kambi ya JKT Mlale 842 kujionea shughuli za uzalishaji mali katika kambi hiyo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Wazi... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More