MHANDISI LUHEMEJA AZUNGUMZIA MAFANIKIO YA DAWASA KATIKA MIAKA MITATU YA RAIS DKT. MAGUFULI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MHANDISI LUHEMEJA AZUNGUMZIA MAFANIKIO YA DAWASA KATIKA MIAKA MITATU YA RAIS DKT. MAGUFULI


Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Katika mafanikio ya miaka mitatu ya Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli makusanyo ya maduhuli ya Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kwa mwaka 2014/15 yameongezeka kutoka wastani wa shilingi bilioni 2.9 na kufikia 10.5 kwa mwezi kwa mwaka 2018.

Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Habari maelezo leo Jijini Dar es Salaam, Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja amesema kuwa Kwa hivi sasa makusanyo yameongezeka hadi kufikia Shilingi bilioni 10.5 kwa mwezi kwa mwaka huu 2018 huku lengo letu na mikakati ni kufikia makusanyo ya Shilingi bilioni 12 kwa mwezi.
Mhandisi Luhemeja amesema, kwa upande wa ukusanyaji wa mapato haya yanatokana na mauzo ya huduma za maji na majitaka katika eneo la DAWASA, ambalo ni jiji la Dar es salaam na miji ya Kibaha na Bagamoyo
Ameeleza kuwa, mpaka sasa katika kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya awamu ya tano, miradi mikubwa iliyokamilika ni pamoja na u... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More