Mhandisi Mtigumwe ajionea maandalizi ya Nane nane ambayo Kitaifa yatafanyika Mkoani Simiyu - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mhandisi Mtigumwe ajionea maandalizi ya Nane nane ambayo Kitaifa yatafanyika Mkoani Simiyu


Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe akipata maelezo kuhusu kilimo shadidi kutoka kwa mtaalamu wa Kilimo Dkt Kisa KajigiliKatibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe Antony Mtaka mara baada ya kuwasili Mkoani humo kujionea hmaandalizi ya maonesho ya Nanenane.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe akiongozana na mtaalamu kutoka wizara ya Kilimo Dkt Kisa Kajigili wakati wa ukaguzi wa maandalizi ya maonesho ya Nanenane.


Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo - Simiyu

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe jana Tarehe 17 Juni 2019 alitembelea Viwanja vya Nyakabindi vilivyopo Mkoani Simiyu kujionea maandalizi ya maonesho ya Wakulima (Nanenane) ambayo hufanyika kila mwaka kuanzia Agosti 1-8 katika maeneo mbalimbali nchini. 
Akiwa katika viwanja vya Nyakabindi Katibu Mkuu huyo alijionea maeneo mbalimbali likiwemo eneo la Wizara ya Kilimo na kujionea vipando vya mazao mbalimbali ambavyo vim... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More