MHANDISI NA MGANGA MKUU WILAYA YA MBULU WAKALIA KUTI KAVU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MHANDISI NA MGANGA MKUU WILAYA YA MBULU WAKALIA KUTI KAVU

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile alitoa amri ya kuwaweka ndani Mganga Mkuu pamoja na Mhandisi  wa ujenzi wa kituo cha Afya Mbulu baada ya kubaini madudu na mapungufu mengi katika ujenzi wa kituo hicho kilichopo kata ya Dongobeshi  Wilayani humo. Dkt. Ndugulile alibaini madudu katika kituo hicho cha Afya baada ya kukagua ujenzi eneo la pasuaji na sehemu ya kuifadhi maiti na kugundua makosa ya kiufundi katika ujenzi wa sehemu hizo nakuoji Mganga Mkuu wa Wilaya Dkt. Joseph Foma kwanini aliruhusu makosa kitaalamu kutozingatiwa katika hatua za wali za ujenzi .Aidha Mganga Mkuu wa Wilaya pia alishindwa kuthibitisha ikiwa aliwai kufika katika eneo la ujenzi wa kituo hicho na kukili kuwa alifika siku moja kabla ya Naibu Waziri kufanya ukaguzi katika kituo hicho jambo lilosababisha Naibu Waziri kumwagiza Kamanda Mkuu wa Polisi Wilayani humo kumweka ndani mara moja Mganga Mkuu wa Wilaya.Katika hatua nyingine Naibu Waziri pia aliomba kup... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More