Mhasibu Mamlaka ya Elimu aburuzwa mahakamani kwa makosa 400 - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mhasibu Mamlaka ya Elimu aburuzwa mahakamani kwa makosa 400

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Kinondoni imemfikisha mahakamani aliyekuwa Mhasibu Mwandamizi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Isaya Paul Phillip pamoja na watumishi 11 wa benki ya CRDB wanaotuhumiwa kuisababishia hasara serikali. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Watuhumiwa hao wanaodaiwa kufanya makosa 404 ikiwemo la kuisababishia serikali hasara ya zaidi ...


Source: MwanahalisiRead More