MHE.AWESO AKAGUA MRADI WA MAJI HEDARU SAME MKOANI KILIMANJARO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MHE.AWESO AKAGUA MRADI WA MAJI HEDARU SAME MKOANI KILIMANJARO

Wananchi wakichota maji katika kituo cha kuchotea maji cha Mradi wa Maji Hedaru katika eneo la Hedaru B, wilayani Same mkoani Kilimanjaro.Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso akiwa katika eneo lilipojengwa chanzo cha Mradi wa Maji Hedaru katika Kijiji cha Gundusine, Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro.Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso akiwasikiliza wakazi wa Kijiji cha Gundusine katika Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro.Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso akikagua moja ya kituo cha kuchotea maji cha Mradi wa Maji Hedaru katika mji wa Hedaru, Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro.Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Senyamule wakati wakikagua Mradi wa Maji katika Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro.Tenki jipya la kuhifadhi maji la Mradi wa Maji Hedaru, wilayani Same, mkoani Kilimanjaro.……………………..Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amekagua Mradi wa Maji Hedaru uliogahrimu Shilingi bilioni 1.7 kwenye Mji wa He... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More