MHE. KIGWANGALLA ASHIRIKI KUTOA TUZO KWA WAONGOZA WATALII BORA NCHINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MHE. KIGWANGALLA ASHIRIKI KUTOA TUZO KWA WAONGOZA WATALII BORA NCHINI


  Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Dkt. Hamisi Kigwangalla akifungua hafla ya utoaji wa Tuzo za Waongoza Watalii nchini (Tanzania Tour Guides Awards 2019) kwa mwaka ,jijini Arusha.  Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Dkt. Hamisi Kigwangalla akifungua hafla ya utoaji wa Tuzo za Waongoza Watalii nchini (Tanzania Tour Guides Awards 2019) kwa mwaka ,jijini Arusha. Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla akimkabidhi tuzo ya Mwongoza Watalii Bora upande wa Wanaume, Bw. Athuman Njiku, wakati wa hafla ya utoaji wa tuzo kwa waongoza watalii jijini Arusha Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii Mhe. Kemilembe Walter akizungumza kwa niaba ya kamati hiyo wakati wa hafla ya Utoaji wa Tuzo kwa waongoza watalii kwa mwaka 2019, jijini Arusha Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Constantine Kanyasu akimkabidhi Tuzo kwa Niaba ya Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamisi Kigwangalla mmoja wa washindi wa Tuzo ya waongoza Utalii Bora upande wa Ut... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More