MHE. KIGWANGALLA ASHIRIKI KUTOA TUZO KWA WAONGOZA WATALII BORA NCHINI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MHE. KIGWANGALLA ASHIRIKI KUTOA TUZO KWA WAONGOZA WATALII BORA NCHINI

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Dkt. Hamisi Kigwangalla akifungua hafla ya utoaji wa Tuzo za Waongoza Watalii nchini (Tanzania Tour Guides Awards 2019) kwa mwaka jijini Arusha.Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla akimkabidhi tuzo ya Mwongoza Watalii Bora upande wa Wanaume, Bw. Athuman Njiku, wakati wa hafla ya utoaji wa tuzo kwa waongoza watalii jijini Arusha.Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla akimkabidhi Tuzo ya mwongoza Watalii Bora wa muda mrefu Bi. Mary Mushi kwa kufanya kazi ya kuongoza Watalii Mlima Kilimanjaro tangu mwaka 1979.Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii na Mwenyekiti wa Kamati hiyo kwa upande wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe. Peter Msigwa, kwa niaba ya Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akikabidhi tuzo kwa mshindi wa Waongoza Watalii Bora wa muda mrefu kwa upande wa wanaume.Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii Mhe. Kemilembe Walter a... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More