Mhe. Lema amlipua Waziri Lugola na Kamanda Mambosasa sakata la kutekwa Mo Dewji ‘heti Kamera hazikunasa gari vizuri’ (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mhe. Lema amlipua Waziri Lugola na Kamanda Mambosasa sakata la kutekwa Mo Dewji ‘heti Kamera hazikunasa gari vizuri’ (+video)

Mbunge wa Arusha Mjini kwa Tiketi ya CHADEMA, Godbless Lema ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu tukio la kutekwa kwa Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Mo Dewji.Lema akizungumza na Waandishi wa Habari leo Oktoba 16, 2018 jijini Dar Es Salaam amehoji vitu kadhaa zikiwemo kauli zilizotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola na zile taarifa zilizotolewa na Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar Es Salaam.


The post Mhe. Lema amlipua Waziri Lugola na Kamanda Mambosasa sakata la kutekwa Mo Dewji ‘heti Kamera hazikunasa gari vizuri’ (+video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More