Mhe. Mbowe aongea kwa uchungu Lowassa kuitosa CHADEMA, amtaka awapelekee CCM ujumbe huu mzito (+VIDEO) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mhe. Mbowe aongea kwa uchungu Lowassa kuitosa CHADEMA, amtaka awapelekee CCM ujumbe huu mzito (+VIDEO)

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, na Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Freeman Mbowe ameongea kwa mara ya kwanza kuhusu Lowassa kukihama chama hicho na kurudi CCM.Mhe. Mbowe amesema kuwa amesikitishwa na taarifa hizo na kumpa ujumbe wa kupeleka CCM.


The post Mhe. Mbowe aongea kwa uchungu Lowassa kuitosa CHADEMA, amtaka awapelekee CCM ujumbe huu mzito (+VIDEO) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More