MHE. STANISLAUS MABULA KUANZISHA TUZO YA WANAWAKE KUTUNUKU WAJASIRIAMALI NA WAWEKEZAJI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MHE. STANISLAUS MABULA KUANZISHA TUZO YA WANAWAKE KUTUNUKU WAJASIRIAMALI NA WAWEKEZAJI

Mbunge Jimbo la Nyamagana Mhe Stanislaus Mabula anaanzisha tuzo maalumu ya wanawake mahususi kutunuku wajasirimali na wawekezaji wanawake, ili kuenzi jitihada na harakati za kufikia uchumi wa viwanda kwa mstakabali wa ujenzi wa Maendeleo Nyamagana na taifa kwa ujumla
Haya yamebainishwa na katibu wa taasisi ya First community organization Florah Magabe akimwakilisha Mgeni Rasmi, Mbunge Jimbo la Nyamagana Mhe Stanislaus Mabula katika kongamano maalumu la uchumi, uwekezaji na mahusiano lililoitwa Red and Silver Party JB Belmond Hotel. 
Magabe alitumia adhara hiyo kutoa salamu za Mhe Stanislaus Mabula kwa kupongeza kikundi cha 'Mwanamke Mpambanaji' Kwa harakati zake za ujenzi wa fikra mpya za kiuchumi, kupitia kongamano lenye dhima ya kuwatoka wanawake na Vijana na wana Mwanza katika fikra za uchuuzi na kwenda katika ujasirimali na uwekezaji ili kufikishwa adhima ya uchumi wa viwanda.
Alifafanua kuwa Mbunge Jimbo la Nyamagana anatambua jitahada kubwa za wanawake katika kufikia uchumi viwand... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More