Mhe. Sugu atangaza dau nono la Mil. 1 kwa Mtanzania yeyote atakayemfanikishia jambo hili - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mhe. Sugu atangaza dau nono la Mil. 1 kwa Mtanzania yeyote atakayemfanikishia jambo hili

Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu ametangaza dau la Tsh Milioni  1 kwa mtu yeyote atakayempatia picha yake akiwa amevalia sare za Gerezani kipindi alivyokuwa amefungwa.


Related imageJoseph Mbilinyi a.k.a Sugu

Sugu ametoa tangazo hilo kwenye ukurasa wake wa Instagram, ambapo ameeleza kuwa lengo kubwa la picha hiyo ni kutumika kama Cover ya kitabu chake kipya cha ‘SIASA NA MAISHA’ .


View this post on InstagramReal talk… #JONGWE #MVMP #PoliticalPrisonerNo219 #JongweMisuti


A post shared by Joseph Mbilinyi (@mh_sugu) on Oct 19, 2018 at 8:56am PDT

The post Mhe. Sugu atangaza dau nono la Mil. 1 kwa Mtanzania yeyote atakayemfanikishia jambo hili appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More