Mhini, Sonia waonyesha cheche zao katika Olimpiki ya Vijana, Argentina - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mhini, Sonia waonyesha cheche zao katika Olimpiki ya Vijana, Argentina

Na Mwandishi wetuMuogeleaji anayekuja kwa kasi katika mchezo huo hapa nchini, Dennis Mhini amevunja rekodi ya muda wake katika michezo ya vijana ya Olimpiki inayoendelea Buenos, Argentina katika staili ya backstroke ya mita 50 na freestyle ya mita 100.
Mhini ambaye ameshiriki katika mashindano hayo kwa mara ya kwanza alimaliza katika nafasi ya tatu kwa upande wa mita 100 freestyle kwa kutumia  sekunde 58.53 na kujizolea pointi 514 wakati kwa upande wa mita 50 backstroke, alitumia muda wa sekunde 29.79 na kupata pointir 525 baada ya kumaliza katika nafasi ya tatu.
Muogeleaji huyo amoenyesha kuwa ni lulu ya nchi katika mashindano yajayo ya kimataifa ikiwa ya Jumuiya ya Madola, Olimpiki ya wakubwa na mashindano ya dunia ya kuogelea.
Mbali ya Mhini, pia muogeleaji wa kike, Sonia Tumiotto naye aliweza kufanya vizuri pamoja na wote wawili kushindwa kuingia fainali.
“Waogeleaji wetu bado wadogo sana na wamekutana na changamoto nyingi za kiufundi. Makocha wao wamejitahidi sana kuwafikisha katik... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More