Michelle Obama afichua siri ya jinsi alivyoshika uja uzito wa watoto wake wawili - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Michelle Obama afichua siri ya jinsi alivyoshika uja uzito wa watoto wake wawili

mke wa aliyekuwa rais wa Marekani Baraka Obama, Bi Michelle Obama ametoa kumbukumbu ambapo amefichua matatizo aliyopitia katika ndoa yake na uja uzito wa watoto wake wawili. Katika kitabu hicho, Becoming, Bi Obama amefichua kwamba alitokwa na ujauzito na akalazimika kutumia mbinu ya IVF ambapo mayai ya wapendanao huchanganywa nje na baadaye kuwekwa katika kizazi cha mwanamke kupitia sindano. Bi Obama aliambia kituo cha ABC Good morning America kwamba alihisi ‘amepotea na mpweke’ baada ya kupoteza uja uzito miaka 20 iliopita.Pia alimkosoa rais Donald Trump kwa kuweka usalama wa familia yake hatarini . Bi Obama na mumewe , aliyekuwa rais wa Marekani Barack Obama walilazimika kufanyiwa vikao vya ushauri , na pia alifichua kwamba kwa mara ya kwanza katika kitabu chake chenye kurasa 426 kitakachotolewa siku ya Jumanne. Kufuatia kuchapishwa kwa kitabu hicho Bi Obama atatembelea miji 10 ikiwemo London. Bi Obama , wakili wa zamani na msimamizi wa hospitali aliambia ABC kwamba baada ya ku... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More