Michelle Obama apagawisha, Gaga, Dua, Musgraves wazoa tuzo Grammys - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Michelle Obama apagawisha, Gaga, Dua, Musgraves wazoa tuzo Grammys

Mke wa rais wa zamani Michelle Obama aliwapagawisha mashabiki katika tuzo za Grammys alipopanda jukwaani kuelezea nguvu ya muziki pamoja na Lady Gaga, Jada Pinkett-Smith, Jennifer Lopez na Alicia Keys.


Source: MwanaspotiRead More