MICHEZO YA SHIRIKISHO LA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI YASHIKA KASI VIWANJA VYA UDSM. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MICHEZO YA SHIRIKISHO LA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI YASHIKA KASI VIWANJA VYA UDSM.

 Mchezaji taekwondo wa Polisi Tanzania mkaguzi wa Polisi (INSP) Danny  ameshika    nafasi ya kwanza kwa mchezo wa uzito wa juu katika michezo ya karate ya TaeKwondo kwenye michezo ya EAPCCO inayoendelea viwanja vya chuo kikuu cha Dar es Salaam Naibu kamishna wa Polisi (DCP) Ahmada Khamisi akikabidhi kobe kwa mshindi wa mchezo wa Taekwondo kutoka Polisi Kenya katika michezo ya EAPCCO GAMES yanayoendelea viwanja vya chuo kikuu cha Dar es SALAAM.Wachezaji wa mchezo wa Taekwondo kutoka Polisi Rwanda wakishagilia ushindi wa kwanza wa ujumla baada ya kupata vikombe viwili katika mchezo huo. Picha zote na Jeshi la Polisi... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More