MICHUZI MEDIA GROUP INATOA SALAMU ZA POLE KWA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MICHUZI MEDIA GROUP INATOA SALAMU ZA POLE KWA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI.

 KAMPUNI YA MICHUZI MEDIA GROUP KWA NIABA YA UONGOZI WAKE NA WAFANYAKAZI WOTE KWA UJUMLA, INATOA SALAM ZA POLE KWA FAMILIA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI ,KUFUATIA KIFO CHA DADA YAKE MPENDWA BI.MONICA JOSEPH MAGUFULI KILICHOTOKEA TAREHE 19/08/2018 WAKATI AKIPATIWA MATIBABU KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA BUGANDO MKOANI MWANZA
MICHUZI MEDIA GROUP INAUNGANA NA FAMILIA YA RAIS DKT. MAGUFULI KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU CHA KUONDOKEWA NA DADA YAO MPENDWA.

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.

... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More