MICHUZI MEDIA GROUP YATOA SALAMU ZA POLE KWA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUFIWA NA DADA YAKE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MICHUZI MEDIA GROUP YATOA SALAMU ZA POLE KWA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUFIWA NA DADA YAKE

MICHUZI MEDIA GROUP INATOA SALAM ZA POLE KWA FAMILIA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KUFUATIA KIFO CHA DADA YAKE MPENDWA BI.MONICA JOSEPH MAGUFULI KILICHOTOKEA TAREHE 19/08/2018 WAKATI AKIPATIWA MATIBABU KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA BUGANDO JIJINI MWANZA
MICHUZI MEDIA GROUP INAUNGANA NA FAMILIA YA RAIS DKT. MAGUFULI KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU CHA KUONDOKEWA NA DADA YAO MPENDWA. INAWAOMBEA WAWE NA MOYO WA SUBIRA NA KUMTANGULIZA MUNGU KATIKA KILA JAMBO.

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA. 
JINA LA BWANA NA LIHIMIDIWE - AMINA
... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More