MICHUZI TV: Makamu wa Rais ashiriki ibada ya kumuweka Wakfu na kumuingiza kazini Askofu Mteule Mch. Dkt. Isaac Kissiri Laiser wa KKKT mkoani Tabora - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MICHUZI TV: Makamu wa Rais ashiriki ibada ya kumuweka Wakfu na kumuingiza kazini Askofu Mteule Mch. Dkt. Isaac Kissiri Laiser wa KKKT mkoani Tabora

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Dini nchini kuunga mkono azma ya Serikali ya kujenga uchumi wa viwanda.

Makamu wa Rais ameyasema haya wakati wa Ibada ya Kuzindua Dayosisi ya Magharibi Kati na Kumuweka Wakfu na Kumuingiza kazini Askofu Mteule Mchungaji Dkt. Isaac Kissiri Laiser na kuingizwa kazini Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Newton John Maganga katika Kanisa Kuu la Kiinjili la Kilutheri Tabora. Makamu wa Rais amesema hivi karibuni Serikali imepitisha mabadiliko na mpango mpya wa uwekezaji Tanzania.

Makamu wa Rais amesema kuwa kudumisha Amani na usalama ni jukumu la wote “ Endeleeni kuhubiri Amani na kwa upande wa Serikali niwahakikishie Watanzania Wote kwamba Amani na Usalama ni kipaumbele chetu hatuta vumilia kumstahimilia mtu yeyote yule ambaye ana lengo la kuharibu Amani ya Tanzania hatutamvumilia tutamshughulikia ipasavyo”

Makamu wa Rais amesema “Tukosoeni pale tunapokosea nasi tunawaahidi tu... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More