Migne achekelea Wanyama kurejea - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Migne achekelea Wanyama kurejea

Nairobi, Kenya. Kundi la pili la timu ya taifa, Harambee Stars, linatarajiwa kuondoka leo jioni kuelekea Ethiopia kwa ajili ya mechi ya kufuzu kombe la Mataifa ya Afrika, huku Kocha mkuu Sebastien Migne, akifurahia uwepo wa Nahodha wake, Victor Mugubi anayekipiga katia klabu ya Tottenham Hotspurs ya England.


Source: MwanaspotiRead More