Migne anyoa wanne, akitangaza nyota 23 Afcon Misri - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Migne anyoa wanne, akitangaza nyota 23 Afcon Misri

Hatimaye kitendawili cha nani watapeperusha bendera ya Kenya, katika makala ya 32 ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2019, zitakazofanyika huko Misri, kimeteguliwa mapema leo baada ya mazoezi ya Harambee Stars, iliyoko kambini Jijini Paris, Ufaransa.


Source: MwanaspotiRead More