MIGODI YA BUZWAGI NA BULYANHULU YALIPA MILIONI 771 KWA AJILI YA USHURU WA HUDUMA KAHAMA MJI NA MSALALA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MIGODI YA BUZWAGI NA BULYANHULU YALIPA MILIONI 771 KWA AJILI YA USHURU WA HUDUMA KAHAMA MJI NA MSALALA

Kushoto ni Meneja mkuu wa migodi ya Bulyanhulu na Buzwagi Benedict Busunzu akikabidhi hundi ya ushuru wa huduma shilingi 650,479,914.38 kwa halmashauri ya Kahama Mji, Katikati ni Mkuu wa wilaya ya Kahama Anamringi Macha akifuatiwa na Kaimu mkurugenzi wa Kahama mji Clemensi Mkusa.Meneja mkuu wa migodi ya Bulyanhulu na Buzwagi Benedict Busunzu akishikana mkono wa pongezi na kaimu mkurugenzi wa Kahama Mji Clemence Mkusa, katikati ni mkuu wa wilaya ya Kahama Anamringi Macha.Meneja mkuu wa migodi ya Bulyanhulu na Buzwagi Benedict Busunzu akishikana mkono wa pongezi na kaimu mkurugenzi wa Msalala Dkt Ntanwa Kilagwile wakati akikabidhiwa hundi ya ushuru wa huduma shilingi 121,349,478, katikati ni mkuu wa wilaya ya Kahama Anamringi Macha.Wa kwanza kushoto ni Meneja mkuu wa migodi ya Bulyanhulu na Buzwagi Benedict Busunzu akikabidhi hundi ya ushuru wa huduma shilingi 121,349,478 kwa halmashauri ya Msalala, Katikati ni mkuu wa wilaya ya Kahama Anamringi Macha akifuatiwa na Kaimu mkurugenzi wa M... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More