MIKE TYSON AVUTA MSOKOTO MKUBWA WA BANGI HADHARANI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MIKE TYSON AVUTA MSOKOTO MKUBWA WA BANGI HADHARANI

BAADA ya kutamba katika ulimwengu wa ngumi, sasa Mike Tyson ameamua kuzeeka vibaya akiwa katika miaka yake ya 50.
Bingwa huyo wa zamani wa dunia amekuwa akivuta msokoto mkubwa mno kwenye tamasha maalum la kuvuta bangi, sasa akitoka kuwa 'Mtu Mbaya Duniani' hadi kuwa 'Mtu Mkubwa Zaidi Duniani.'
Si hivyo tu kwa Iron Mike, kwani Tyson anamiliki ekari 40 za shamba halali la bangi karibu na California, Death Valley, ambalo alilianzisha baada ya Serikali ya Marekani kuhalalisha dawa hizo za kulevya.

Mike Tyson akivuta msokoto mkubwa kwenye tamasha maalum la kuvuta bangi

Tyson pia alikiri kuvuta bangi kabla ya pambano lake na Andrew Golota mwaka 2000, ambalo alishinda baada ya Golota kutorejea kuendelea na pambano Raundi ya tatu. 
Tyson alishinda kwa Technical Knockout (TKO), lakini akapokonywa ushindi wake baada ya vipimo kuonyesha alivuta bangi kabla ya pambano na matokeo yakafutwa. 
Alisema amekuwa akivuta bangi katika maisha yake yote, lakini akadai ni katika pambano dhidi ya Golota tu ndiyo alip... Continue reading ->Source: Bin ZuberyRead More