MIKOA YA GEITA, NJOMBE, RUKWA NA SIMIYU KUPATA VYUO VYA VETA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MIKOA YA GEITA, NJOMBE, RUKWA NA SIMIYU KUPATA VYUO VYA VETA

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel (Kushoto)alitazama mwonekano katika picha wa Chuo cha Mkoa huo pindi kitakapomaliza.
Mwenyekiti wa Bodi wa Bodi ya VETA Ndg. Peter Maduki akikabidhi mchoro wa chuo cha VETA Geita kwa mkandarasi wa kampuni ya Skywards Construction aliyepewa kazi ya ujenzi wa chuo hicho
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel (kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya VETA Ndg.Peter Maduki wakati wa makabidhiano ya eneo la ujenzi wa Chuo cha VETA cha Mkoa wa Geita.Wengine ni Wakurugenzi wa VETA na wakandarasi wa mradi huo.
Uongozi wa Wilaya na Halmashauri ya Chato, Uongozi wa VETA,Wakandarasi na baadhi ya wananchi wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa makabidhiano ya eneo la ujenzi wa chuo cha Wilaya hiyo kwa Mkandarasi.
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imeanza utekelezaji wa  ujenzi wa Vyuo vya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kwa Mikoa ya Geita, Njombe, Rukwa na Simiyu ikiwa ni sehemu ya kutoa huduma ya ufundi na ... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More