Mikocheni veterans kushiriki katika michezo ujirani mwema nchini Rwanda - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mikocheni veterans kushiriki katika michezo ujirani mwema nchini Rwanda

Timu ya Mikocheni veterans ya jijini Dar es salaam (pichani) itashiriki katika tamasha maalum ya ujirani mwema lililopangwa kufanyika Kigali, Rwanda,  kuanzia Septemba 22. 
Timu hiyo inatarajia kuandoka nchini Septemba 19, ikiwa na wachezaji na mashabiki 23 kwa ajili ya safari hiyo kwa mujibu wa Seneta wa timu hiyo, Yassin Ally Yassin.
Yassin alisema kuwa mechi ya kwanza itakuwa dhidi ya Karibu Sports Club ya Rwanda Septemba 24 na mechi nyingine zitafuatia.Aliwataja wachezaji wanaondoka kuwa ni Adam Mohamed Mselem, Fumu Mahamud, Dornad Mtoka, winchande  Chambuso, Ally Salim, Adnan Juma, Omary Mkuku, Jumanne Mnkumbu na Hamis Kisukari.Wengine ni Agapiti Manday,  Fikir  Muhango, Belanus  Komba, Eric Frederic , Ian Balegele, Timothy Kipilimba, Abdul Hamis Said, Suleima  Masatu, Nassoro Abdul  Mwinchui,  Hassan Mbegu Mohamed, Neema Visent Msema na Witness David Mbingi.Viongozi ambao wataambatana na timu hiyo ni Chriss Chale ambaye ni Mweka Hazina, Adam Mselem (Seneta) na Aidan... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More