Mikocheni veterans ndani ya michezo ujirani mwema nchini Rwanda - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mikocheni veterans ndani ya michezo ujirani mwema nchini Rwanda

Timu ya Mikocheni veterans itashiriki tamasha maalum ya ujirani mwema lililopangwa kufanyika Kigali, Rwanda kuanzia Septemba 22. Timu hiyo inatarajia kuandoka nchini Septemba 19, ikiwa na wachezaji na mashabiki 23 kwa ajili ya safari hiyo kwa mujibu wa Seneta wa timu hiyo, Yassin Ally Yassin.
Yassin alisema kuwa mechi ya kwanza itakuwa dhidi ya Karibu Sports Club ya Rwanda Septemba 24 na mechi nyingine zitafuatia.
Aliwataja wachezaji wanaondoka kuwa ni Adam Mohamed Mselem, Fumu Mahamud, Dornad Mtoka, winchande  Chambuso, Ally Salim, Adnan Juma, Omary Mkuku, Jumanne Mnkumbu na Hamis Kisukari.
Wengine ni Agapiti Manday,  Fikir  Muhango, Belanus  Komba, Eric Frederic , Ian Balegele, Timothy Kipilimba, Abdul Hamis Said, Suleima  Masatu, Nassoro Abdul  Mwinchui,  Hassan Mbegu Mohamed, Neema Visent Msema na Witness David Mbingi.
Viongozi ambao wataambatana na timu hiyo ni Chriss Chale ambaye ni Mweka Hazina, Adam Mselem (Seneta) na Aidan Mshani ambaye ni kocha. Alisema kuwa wamejiandaa vi... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More