Mil 180 zachangwa leo kusaidia wahanga ajali MV Nyerere - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mil 180 zachangwa leo kusaidia wahanga ajali MV Nyerere

MPAKA kufikia saa 12:00 jioni ya leo tarehe 23 Septemba 2018, jumla ya Sh. Mil 180 zimechangwa kwa ajili ya kusaidia walioathirika kwenye ajali ya MV. Nyerere. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Wadau waliotoa michango hiyo mpaka sasa ni Vodacom (Mil 10), Tigo (Mil 150), Azim Dewji (Mil 10) na Waislam jamii ya Shia (Mil ...


Source: MwanahalisiRead More