Mil 3.9 kujenga vyoo Morogoro - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mil 3.9 kujenga vyoo Morogoro

JUMLA ya Sh. 3.9 milioni zimekusanywa na wanavijiji wa vijiji vinne vya kata ya Tomondo wilayani Morogoro na kutatua tatizo la uhaba wa vyoo na vyumba vya kujistiria katika shule za msingi ili kunusuru kushuka kwa kiwango cha elimu hasa kwa mtoto wa kike. Anaripoti Christina Haule, Morogoro … (endelea). Diwani wa kata hiyo, Hamisi Msangule ...


Source: MwanahalisiRead More