MILANGO YA UWEKEZAJI TANZANIA IPO WAZI -RAIS MAGUFULI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MILANGO YA UWEKEZAJI TANZANIA IPO WAZI -RAIS MAGUFULI

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
RAIS Dkt. John Joseph Magufuli amesema kuwa milango ya uwekezaji nchini ipo wazi na wawekezaji kutoka nchini Afrika Kusini wanakaribishwa kuwekeza katika sekta mbalimbali nchini ili kuleta ukombozi wa kiuchumi baina ya nchi hizo mbili.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam katika jukwaa la wafanyabiashara baina ya Afrika Kusini na Tanzania Rais Magufuli amesema kuwa wawekezajj wanakaribishwa nchini kuwekeza katika sekta mbalimbali kwa kuwa nchi Ina hazina ya rasilimali za kutosha zikiwemo pamba na kahawa na hata sekta ya viwanda hasa vya dawa mbalimbali jambo ambalo ni changamoto kubwa katika ukanda wa SADC.
"Ukanda wa SADC una changamoto kubwa katika sekta ya usambazaji wa madawa, Tanzania tunatumia zaidi ya shilingi bilioni 270 katika kununua dawa na vifaa tiba na zaidi ya asilimia 90 ya dawa zinazosambazwa na bohari ya dawa zinatoka nje hivyo hatuna budi kuelekeza nguvu kwenye ukombozi wa kiuchumi hasa kwa kuangalia masuala ya uwekezaji na biashara" ameele... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More