Milioni 50m/-za Tigo Jigiftishe zaenda kwa mkulima Songea - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Milioni 50m/-za Tigo Jigiftishe zaenda kwa mkulima Songea

Mshindi wa zawadi kubwa ya shilingi milioni 50 katika Promosheni iliyomalizika ya Tigo Jigiftishe Sadiki Zabroni Kilipamwambu, akiwa amebebwa na wafanyabiashara wenzake wa nyanya wakati akienda kupokea zawadi yake katika hafla ya kumkabidhi zawadi iliyofanyika katika soko la Manzese mjini Songea.
Mshindi wa zawadi kubwa ya shilingi milioni 50 katika Promosheni iliyomalizika ya Tigo Jigiftishe Sadick Zabron Kilipamwambu (wa tatu kushoto) akipokea mfano wa hundi kutoka kwa Meneja wa Tigo Kanda ya Kusini Abbas Abrahaman (wa pili kushoto). Wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa Tigo na mshereheshaji wa shughuli hiyo Okechi Okechi.

Mshindi wa zawadi kubwa ya shilingi milioni 50 katika Promosheni iliyomalizika ya Tigo Jigiftishe Sadick Zabron Kilipamwambu kutoka Songea, akionyesha nyumba anayoishi muda mfupi kabla ya kukabidhiwa zawadi yake mjini Songea.

Mshindi wa zawadi kubwa ya shilingi milioni 50 katika Promosheni iliyomalizika ya Tigo Jigiftishe Sadick Zabron Kilipamwambu kutoka Songea, akimu... Continue reading ->Source: Mwanaharakati MzalendoRead More